[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mafyekero mengine yanazingua balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Malipo ni hapa hapa duniani. Uwaridi huwa anasema kila siku hapa kuwa Karma huwa haiangalii makunyanzi. Alipokuwa anamchezea mwanamke mwenzie alikuwa anafikiri nini. Shwaini kabisa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]MSHAURINI HUYU MREMBO. . Kaka naomba unisaidie kwani nimechanganyikiwa na sijui nini hca kufanya, mimi ni binti wa miaka 27, sijaolewa bado lakini niko kwenye mchakato huo, kila kitu kimeshakamilika na sendoff inatakiwa kufanyika alhamisi ijayo. Sababu ya kuja kwako nikuwa kukutana na huyu mchumba wangu nilikua natembea na mume wa mtu. Alikua ananihudumia kwa kila kitu na alikua ananipenda mpaka mke wake akaja kujua, alikua haongei anafanya chochote ninachotaka mimi. Hata mke wake alipojua niliishia kumtukana na kumuambia mume kamshinda ndiyo kaja kwangu, nilikua natuma mesji n akumpigia simu usiku akiwa na mke wake ili tu kumkera. Kila tulipokua tukifanya mapenzi nilikua napiga picha na kumtumia mke wake ili tu kumchoma roho na mwanaume alipenda kunipiga picha nyingi za uchi kwaajili ya kumbukumbu kwani aliniambia kuwa hawezi kusisimkwa akiwa na mkewe mpaka kuniwaza mimi. Kipindi hicho nilifurahi mpaka nilipokutana na huyu mchumba wangu kama mwaka mmoja na nusu uliopita, nilimpenda na niliongea na huyo Baba mtu mzima akanialewa ingawa ilikua ngumu lakini tuliachana na kila kitu kikawa sawa. Sasa sijui mkewe alijuaje kuwa naolewa lakini amesubiri mpaka kila kitu imepangwa ndipo akachukua picha zaangu ambazo sikujua kama anazo kwani ni za muda mrefu na kuwatumia wakwe zangu, aliwatumia kila kitu kisha akwaambia huyo ndiyo mkwe wenu. Baada ya wakwe zangu kuziona walimuita kikao mchumba wangu na kumuambia kuwa hawanitaki atafute mwanamke mwingine wakuoa lakini si mimi. Mchumba wangu alipoonyeshwa zile picha aliomba kupewa muda na sasa hivi kaja kaniambia tuahirishe harusi kwanza kwani wazazi wake hawanitaki nimpe muda wa kufikiria nini chakufanya. Kaka bado nampenda, nishaachana na yule Baba na nina maisha yangu. Kaka naomba unisaidie nifanye nini, rafiki yangu ambaye anajua ndiyo kanielekeza kwakoa nasema kuna mtu kilishamtokea kama mimi naomba msaada wako kwani sijui nyumbani niwaambie nini na mchumba wangu hata kupokea simu ni shida, harusi ni wiki ijayo kaka.
MSHAURINI HUYU MREMBO. . Kaka naomba unisaidie kwani nimechanganyikiwa na sijui nini hca kufanya, mimi ni binti wa miaka 27, sijaolewa bado lakini niko kwenye mchakato huo, kila kitu kimeshakamilika na sendoff inatakiwa kufanyika alhamisi ijayo. Sababu ya kuja kwako nikuwa kukutana na huyu mchumba wangu nilikua natembea na mume wa mtu. Alikua ananihudumia kwa kila kitu na alikua ananipenda mpaka mke wake akaja kujua, alikua haongei anafanya chochote ninachotaka mimi. Hata mke wake alipojua niliishia kumtukana na kumuambia mume kamshinda ndiyo kaja kwangu, nilikua natuma mesji n akumpigia simu usiku akiwa na mke wake ili tu kumkera. Kila tulipokua tukifanya mapenzi nilikua napiga picha na kumtumia mke wake ili tu kumchoma roho na mwanaume alipenda kunipiga picha nyingi za uchi kwaajili ya kumbukumbu kwani aliniambia kuwa hawezi kusisimkwa akiwa na mkewe mpaka kuniwaza mimi. Kipindi hicho nilifurahi mpaka nilipokutana na huyu mchumba wangu kama mwaka mmoja na nusu uliopita, nilimpenda na niliongea na huyo Baba mtu mzima akanialewa ingawa ilikua ngumu lakini tuliachana na kila kitu kikawa sawa. Sasa sijui mkewe alijuaje kuwa naolewa lakini amesubiri mpaka kila kitu imepangwa ndipo akachukua picha zaangu ambazo sikujua kama anazo kwani ni za muda mrefu na kuwatumia wakwe zangu, aliwatumia kila kitu kisha akwaambia huyo ndiyo mkwe wenu. Baada ya wakwe zangu kuziona walimuita kikao mchumba wangu na kumuambia kuwa hawanitaki atafute mwanamke mwingine wakuoa lakini si mimi. Mchumba wangu alipoonyeshwa zile picha aliomba kupewa muda na sasa hivi kaja kaniambia tuahirishe harusi kwanza kwani wazazi wake hawanitaki nimpe muda wa kufikiria nini chakufanya. Kaka bado nampenda, nishaachana na yule Baba na nina maisha yangu. Kaka naomba unisaidie nifanye nini, rafiki yangu ambaye anajua ndiyo kanielekeza kwakoa nasema kuna mtu kilishamtokea kama mimi naomba msaada wako kwani sijui nyumbani niwaambie nini na mchumba wangu hata kupokea simu ni shida, harusi ni wiki ijayo kaka.
Kabisaaaaaaa. Yaani hafai kabisa na jamaa hapo kaepuka matatizo tu. Kosea kujenga lakini usikosee kuoa...Hafai kuwa mke aendelee kuwa mchepuko wa mzee na kupiga picha za uchi hata akiolewa ndoa itamshinda mapema.