Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
aisee....Valentine Day...leo ndiyo leo. Asiye na mwana aeleke jiwe....
View attachment 1021873
Kabisaaa alimuumiza sana mke wa mzee daah na mapicha juuMalipo ni hapa hapa duniani. Uwaridi huwa anasema kila siku hapa kuwa Karma huwa haiangalii makunyanzi. Alipokuwa anamchezea mwanamke mwenzie alikuwa anafikiri nini. Shwaini kabisa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
ExactlyHafai kuwa mke aendelee kuwa mchepuko wa mzee na kupiga picha za uchi hata akiolewa ndoa itamshinda mapema.