Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_7927.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mmoja alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazeti ghafla akapigwa frampen usoni na mkewe😂😂 JAMAA: vp tena mke wangu kulikoni😳😳 MKE: kwenye suruali yako wakati najiandaa kuifua nimekuta kikaratasi kimeandikwa "JENNY", unaweza kunieleza huyo JENNY ni nani kwako😬😬 JAMAA: aaah! wiki ilopita nilikuwa kwenye mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa farasi wangu yaani farasi wangu aliitwa JENNY😌😌 MKE: sorry darling!👏🏼👏🏼 Siku iliofuata jamaa akiwa amekaa tena kochini huku akisoma gazeti, alishtukia amepigwa tena frampen ya uso "kwaang!" JAMAA: Uwiiiiiii! jamani mke wangu nini tena😪😪😳😳 MKE: farasi wako anakupigia simu😬😬😬
 
MUME: kuna tangazo limetoka mke wangu mwenye watoto 10 anapata zawadi ya gari🚙🚙😄😄 MKE: lakini sisi tuna watoto 8 tu mume wangu😳😳 MUME: samahani sana mke wangu nilihofia kukwambia nina watoto wawili nje ya ndoa naenda kuwachukua ili niongezee😄😄 Baada ya kurudi akakuta mkewe analia🤣🤣 MUME: hee!! Mi nilidhani yameisha kumbe ndio unalia😳😳.!! Na watoto👯‍♂👬 wapo wapi nikajipatie mkoko🚙? MKE: naomba unisamehe mume wangu katika watoto 8 wa kwako ni wawili tu na 6 ni wa daudi kaja kuwachukua ili aongezee🤣🤣 MUME: 😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Back
Top Bottom