Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika mechi hiyo, staa wa PSG, Mbappe aliwatesa mabeki wa Man United, hasa bao la pili, ambalo aliwafanya mabeki wa timu hiyo ya Kocha Ole Gunnar Solskjaer kuonekana kuwa si kitu. Mbappe alikimbia kupita katikati yao na kufunga bao na hapo ikaonyesha wazi, Man United ina ulazima mkubwa wa kusajili beki mwingine wa kati mwenye kiwango cha dunia.
 
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger alizungumzia beki ya Man United na kusema Jose Mourinho alikuwa sahihi wakati alipokuwa akilalamika timu hiyo haina mabeki wa maana na hilo lilionekana wazi kwenye mechi hiyo ambayo imewafanya Man United kuweka rekodi ya kupoteza kwa mara ya kwanza zaidi ya mabao mawili ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani katika mikikimikiki hiyo ya Ulaya.
 
Kutokana na hilo, bila ya shaka ili Man United kutamba tena kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya itahitaji kuwa na huduma ya wachezaji bora kabisa uwanjani, akiwamo Kalidou Koulibaly wa Napoli. Wababe hao kwa siku za karibuni wamekuwa wakihusishwa na mpango wa kunasa mastaa kibao akiwamo Adrien Rabiot wa PSG, Paul Dybala wa Juventus, Philippe Coutinho wa Barcelona na Gareth Bale wa Real Madrid.
 
Kama ada hiyo itakubalika na kulipwa, basi Mo Salah atakuwa mchezaji namba mbili kuwa ghali duniani baada ya supastaa wa Kibrazili, Neymar aliyenaswa kwa mkwanja wa karibu Pauni 200 milioni na Paris Saint-Germain. Salah kwa sasa amefunga mabao 17 sawa na Sergio Aguero kwenye Ligi Kuu England.
 
449015189_251053.jpeg
 
Mwinjilisti mpya in da hausi [emoji110][emoji110][emoji110]

Haya Jumapili tumepata mwinjilisti mmoja akatuambia anaitwa Nelson Ambakisye Mwakyanjila Alinauuswe Baba Gloria Baba Mwamfupi Baba Aneti Mwakyambiki Mwakatobe Mwamuloma Mwakipondaponda Mwakisaksafoni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom