Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji huyo Mfaransa amekuwa na rekodi nzuri dhidi ya Ajax katika mashindano Ulaya, akiwa amehusika katika mabao nane katika mechi sita alizocheza dhidi ya miamba hiyo ya Uholanzi katika Ligi ya Mabingwa (amefunga manne na kutoa pasi za goli nne).
 
Wamempa kazi dalali mmoja wa majumba kuomba wanapata wapi. Anachotaka ni kuishi La Finca, naona kabisa atanunua nyumba. Kitu kingine anaweza kuifikia pia nyumba anayoishi Gareth Bale kwa sababu inavyoonekana ataondoka kwenye timu hiyo mwishoni mwa msimu. Nyumba ya Bale ina historia, Hazard atakuwa staa wa tatu mkubwa kuishi hapo, huko nyuma alikuwa Kaka.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…