Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni baiskeli ya umeme na unaweka chaji kama unavyofanya simu tu. Tangu alipopata baiskeli hiyo, beki wa pembeni, Kurzawa ameepuka mambo ya foleni barabarani na sasa hachelewi tena mazoezini. Baiskeli hizo zimedaiwa spidi yake ni kilomita 16 kwa saa, hivyo inaweza kukufikisha kokote unakotaka kufika kwa haraka tu kwa sababu haina foleni. Unaambiwa baiskeli hizo za umeme ni suluhisho la wachezaji kuwahi mazoezini.
 
51283647_195814211375380_1766726948378007729_n.jpg
 
Nahodha wa Manchester City Vincent Kompany anatarajiwa kukubali kukatwa mshahara ili kusaini mkataba wa mwaka mmoja zaidi na klabu hiyo. Mlinzi huyo raia wa Ubelgiji, 32, anatarajiwa kuandaliwa mchezo wa kumbukumbu mwezi Agosti mwaka huu. (Mail)
 
Manchester United wamewekeza nguvu zao kuwasajili wachezaji wanne mwishoni mwa msimu ambao ni: Kalidou Koulibaly, 27, kutoka Napoli, Lucas Hernandez, 22, wa Atletico Madrid, Nikola Milenkovic, 21, wa Fiorentina na Douglas Costa, 28, wa Juventus. (Mirror)
 
Rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu ametangaza kuwa mshambuliaji raia wa Argentina Lionel Messi, 31, anatarajiwa kuongeza mkataba wake na klab hiyo. Mkataba wake wa sasa unamalizika mwishoni mwa msimu wa 2021. (RKB, via Marca)
 
Back
Top Bottom