Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwili wa aliyekuwa rapa maarufu Bongo, Golden Mbunda "Godzilla" umewasili nyumbani kwao Salasala na kupelekwa kanisani kwa ajili ya ibada ambapo baadaye utaagwa na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, Dar.
 
hivi me Ndo sijawai kucomment Maeneo haya Eeh....[emoji23][emoji23]
wakubwa shikamooni ...
vijana Habari za Asubuh ....
muwe na weekend ńjema wakuu
[emoji111][emoji111]
Nitafurahi ukiwa unaonekana huku mara kwa mara na siyo usiku wa manane pekee. Chaja za simu na vifaa vyote vya shule vipo katika uzi huu pia...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…