Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

37892308_491373954634631_6607722904752750592_n.jpg
 
Hili jamaa lina bahati [emoji16][emoji16][emoji16]
*******************************

Australia: Mapacha wanaofanana wapanga kuolewa na mpenzi mmoja

Ni Anna na Lucy DeCinque - mapacha wanaofahamika kufanana ulimwenguni, wenye umri wa 33 kutoka Perth nchini Australia.

Wakizungumza kwenye mahojiano na runinga moja nchini Australia, mapacha hao walisema hawana wivu kati yao na wao kuonyeshwa mapenzi ya dhati na mpenzi wao.

" Hakuna wivu kati yetu, mpenzi wetu akimbusu mmoja wetu, atambusu tena mwingine, mpenzi wetu hufurahia mtindo wetu wa kimavazi na hutusifia kila mara, tunampenda sana sisi wote," Mapacha hao walisema.

Kulingana na mapacha hao ambao wanaishi pamoja na mama yao, walisema wanapanga harusi hivi karibuni licha ya serikali ya Australia kutokubali ndoa za mitala (mke zaidi ya mmoja).
IMG-20190212-WA0048.jpeg
 
Attachments

  • IMG-20190212-WA0047.jpeg
    IMG-20190212-WA0047.jpeg
    27.7 KB · Views: 35
Hili jamaa lina bahati [emoji16][emoji16][emoji16]
*******************************

Australia: Mapacha wanaofanana wapanga kuolewa na mpenzi mmoja

Anna na Lucy DeCinque mapacha wanaofahamika kufanana ulimwenguni, wenye umri wa 33 kutoka Perth nchini Australia.

Wakizungumza kwenye mahojiano na runinga moja nchini Australia, mapacha hao walisema hawana wivu kati yao na wao kuonyeshwa mapenzi ya dhati na mpenzi wao.

View attachment 1024779

" Hakuna wivu kati yetu, mpenzi wetu akimbusu mmoja wetu, atambusu tena mwingine, mpenzi wetu hufurahia mtindo wetu wa kimavazi na hutusifia kila mara, tunampenda sana sisi wote," Mapacha hao walisema.

Kulingana na mapacha hao ambao wanaishi pamoja na mama yao, walisema wanapanga harusi hivi karibuni licha ya serikali ya Australia kutokubali ndoa za mitala (mke zaidi ya mmoja).
View attachment 1024780
Automatically srisamu everyday!!
 
Back
Top Bottom