Wenger aliyeinoa Arsenal kwa miaka 22, alisema kinachomkuta Ozil ni kitendo chake cha kubweteka baada ya kutia saini mkataba unaompa mshahara mnono wa Pauni350,000 kwa wiki.
Nadhani alibweteka kutokana na mshahara mkubwa anaopata, mchezaji anapokuwa na mkataba wa muda mrefu unatarajia atalinda kiwango chake katika kipindi chote hicho, lakini hali imekuwa tofauti,”alisema Wenger.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.