Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwamuzi alilazimika kusimamisha mpira kwa muda ili kutoa fursa kwa baadhi ya wachezaji wa timu zote mbili kuitoa nje mipira hiyo.
 
Wenger aliyeinoa Arsenal kwa miaka 22, alisema kinachomkuta Ozil ni kitendo chake cha kubweteka baada ya kutia saini mkataba unaompa mshahara mnono wa Pauni350,000 kwa wiki.
 
Nadhani alibweteka kutokana na mshahara mkubwa anaopata, mchezaji anapokuwa na mkataba wa muda mrefu unatarajia atalinda kiwango chake katika kipindi chote hicho, lakini hali imekuwa tofauti,”alisema Wenger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…