The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
Hatoki mtu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa spidi hii angalieni sije mkadondoka[emoji38]
Bahati yangu leo
Subiri uoneKwendraa
OyoooChorus
Nimekuchagua wewe, uwe wangu
Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno watu wasemayo
Yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja
Nimekuchagua wewe, uwe wangu
Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno watu wasemayo
Yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja
Herb ina healing power ya ajabu mkuu kuliko vitu vingiHiko unachokipiga kwenye avatar yako ndo kinakupa immortality nini
posti, hata wewe una bahatiSijui bahat ya nani leo?
Duh...dada bado upo
POLEEBahat mbaya voda wanazingua netwrk