Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mrembo Megan aliachana na staa mwenzake wa Love Island, Wes Nelson, mwezi uliopita tu hapo. Megan alimshutumu mrembo Vanessa Bauer ambaye ni patna wa mpenzi wake Nelson kwenye mashindano ya kudansi kuwa ndiye chanzo cha kuachana kwao.
 
Akamwambia amependeza na ni mrembo pia kabla ya kumwomba amtoe kwa ajili ya chakula cha usiku siku nyingine. Muda mfupi baadaye, wakapeana namba za simu,” alisimuliwa mmoja wa waliokuwa kwenye ukumbu huo wa starehe za usiku na kuongeza.
 
Dele kwa sasa ni majeruhi ingawaje inadaiwa anaweza kurejea uwanjani fasta, aliukosa mchezo wa Spurs wakati iliposhinda Tatu Bila dhidi ya Borussia Dortmund kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…