Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kazi kubikiri bana. Nilihangaika zaidi ya nusu saa kitu kimegoma mpaka tukaahirisha na kuanza kutazama muvi ya Commando. Kwa hivyo hili halinishangazi sana....

455019789_197223.jpeg
 
Anacheza na moto...

Kwani kwa sasa Lucifer anatoa likes? Mimi sipati hata moja. Yawezekana nipo kwenye iginoa listi tayari ama?
Hahaha sina kumbukumbu nzuri kama nlishabahatika kukutana na like ya lucifer,,toka lini Lucifer akagawa likes bro[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yule mwingine Wallah likes zilikuwa zakutosha sana,,,

#BringBackOurWallah#
 
Aisee pole sana bro,ni tumaini kuwa hizo silaha ulizonazo zitapambana kadri ya uwezo wake na zishinde pambana hilo,,hope iwe hvyo.

Huku kwema bro,mabinti wa Kinyiramba wapo,wamejaa tele ni magunia ya vitunguu na alizeti pekee ndio yanayohitajika huku,ukiwa na mabinti hawa hauhitaji umeme wa Tanesco,kwan Tanesco wakifanya yao,hawa mabinti ni mwanga tosha chumban[emoji23][emoji23][emoji23]
Niliwahi kuwa na mmoja aisee we acha tu. Ni yule ninayekukanyaga mara kwa mara kuwa usinikumbushe - mweupe peee, mrefu, msambwanda wa kuburuta...Wanyiramba na Wairaqw ukimkuta aliyeumbwa akaumbika aisee ni kazi...

Hii homa ishalegeza kamba hii; na kesho au keshokutwa itakuwa imeshakwenda zake. Ni majira ya flu huku na safari hii nami imeniangukia. Bahati nzuri nilipata chanjo hivyo hata iliyonipata ni legelege tu. Asante bro...
 
Ukiweka kando fainali hizo zilizofanyika Russia, mrembo huyo alikuwapo pia kwenye fainali za Euro 2016 zilizofanyika Ufaransa. Si kwamba anapenda sana soka, bali kuna mtu mmoja alikuwa akimfanya apige safari zote hizo. Dele Alli.
 
Lakini sasa kufumba na kufumbua, Dele Alli amemwaga Ruby. Mbaya zaidi hata mwezi haujafika tangu bibie Ruby amwagwe, tayari Dele Alli ameshaong’oa kifaa kipya. Macho ya staa huyo wa Spurs kwa sasa yameangukia kwa mrembo, Megan Barton Hanson.
 
Dele, 22, aliwaambia marafiki zake wa karibu baada ya kudumu kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo Ruby kwa miaka miwili na nusu, kwa sasa anataka kufurahia maisha tena akiwa singo. Hataki kubanwa wala kujikaba.
 
Lakini wakati akiwaambia wenzake anataka kuwa singo, siku chache tu, anakutana na mrembo Megan, 24, ambaye naye yupo singo, wakabadilishana namba na kilichofuatia baada ya hapo, wanakifahamu wenyewe. Wawili hao walikutana Jumamosi iliyopita kwenye klabu moja ya usiku huko London.
 
Back
Top Bottom