Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

....[emoji16][emoji16]Ndiyo maana kwa sasa wadada wengi wanalazimisha kuzimwa taa kabla hawajavua pichu zao.
Tunauziwa Mbuzi kwenye gunia.
SYB changia neno hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hata taa zikizimwa tako kama lipo litahisiwa hata kwa mpapaso tu...Mchana tako linaonekana ukifika muda wa usiku ubao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema ndani ya wiki 2 tangu mimba iharibike mama anauwezo mkubwa sana wa kushika mimba.
Lakini yote haya yanatokea/yanategemea na haraka kiasi gani mama ataanza ku ovulate(kupevusha mayai).
Na wengi wao wanaanza kupevusha mayai katika mzunguko wao wa kwanza(baada ya mimba kuharibika).[hapa pia inategemea na mama alikuwa na mimba yenye umri gani,mimba inapokuwa ndogo chance ya kupevusha mayai haraka huongezeka].

Kiufupi inategemea na hormones za mama mwilini zinavyorudi haraka kipindi mimba ikiharibika.


Sent using Jamii Forums mobile app
Aah,,nmekupata sasa carba,,asante sana kwa maelezo yako mazuri carba,nmejifunza kitu leo!!

Thanks,
 
Mimba ikishaharibika na mama akasafishwa vizuri mlango wa kizazi huwa unafunga.
Endapo mlango wa kizazi ukashindwa kufunga mara nyingi kuna kuwa na mabaki(kondo la nyuma/placenta).

Mama kupata mimba yategemea kama anapevusha mayai ama laa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuelewa carba,,wambie wakupe pepsi big[emoji23][emoji23]
 
Msaada wa kitabibu tafadhali ndugu zangu!!

Mtaan kuna story hz kuwa

Kama mwanamke mjamzito kwa bahati mbaya ikatokea mimba kuharibika/miscarriage ,,,wanadai kuwa ni rahisi sana kwa mwanamke huyo kushika ujauzito,tena kwa kipindi kifupi tu,,

Kama ni kweli,nini kinapelekea hali hiyo??
Ni kweli tafiti za karibuni zinaonesha kama asilimia 70 ya wanawake walioharibu ujauzito walipata ujauzito haraka ukilinganisha na wengine wa kawaida . Kutokana na tafiti
Sababu ni kwamba baada ya mimba kuharibika kunakuwa na kuongezeka kwa ghafla kwa "fertility" sababu ya kichocheo/ homoni ya "Progesterone" kwa wiki mpaka ya 6. Baada ya hapo zinarudi kuwa kawaida
 
duale_designs_1___Bc4WRs4l32k___.jpg
 
Back
Top Bottom