carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hakika broMafanikio Yakikutembelea,Maneno na skendo vinakunyemelea,,,huwez kimbia kivuli chako
....[emoji16][emoji16]Ndiyo maana kwa sasa wadada wengi wanalazimisha kuzimwa taa kabla hawajavua pichu zao.Makalio makubwa, hips kubwa na shepu kubwa ndiyo habari ya mjini kwa sasa, muonekano huo unapendwa na watu wengi zaidi na kwa kuwa wadada warembo hugharamia chochote kuhakikisha wanapendeza na kwenda na wakati, ujio wa chupi zenye vigodoro umeongeza thamani ya kile wanachotaka miili yao kuonekana.
Chupi zenye vigodoro ni chupi ambazo humsaidia mwanamke kuoneakana na umbo zuri lenye ujazo wa kutosha kuanzia makalio, hips hadi sehemu ya mbele ya mwanamke.
Wafanyabiashara soko kubwa la Dar es salaam, Kariakoo wamefunguka undani wa biashara ya uuzaji wa chupi zenye vigodoro na kusema kuwa kwa sasa biashara hiyo imepamba moto na wanaoongoza kwa kutumia bidhaa hiyo ni watu wenye rika zote sio tuu kina dada wenye umri mdogo kama ambavyo wengi wanadhani.
”Sio siri tena, zamani tulikuwa tunauza kwa kificho” amesema mmoja ya wafanyabiashara wa vigodoro.
Ile dhana ya kuchoma sindano na kutumia vidonge inakufa siku hadi siku kutokana na ubunifu mkubwa unaofanywa na wataalamu wa urembo, na hii ni kutokana na madhara makubwa yanayotokana na matumizi ya vitu hivyo kama vile kansa.
Sababu mbailimbali zatajwa biashara hiyo kupamba moto miaka ya hivi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]MashaAllahView attachment 1027885
Msaada wa kitabibu tafadhali ndugu zangu!!
Mtaan kuna story hz kuwa
Kama mwanamke mjamzito kwa bahati mbaya ikatokea mimba kuharibika/miscarriage ,,,wanadai kuwa ni rahisi sana kwa mwanamke huyo kushika ujauzito,tena kwa kipindi kifupi tu,,
Kama ni kweli,nini kinapelekea hali hiyo??
Ok bro,,maana kuna jamaa nlimsikia kuwa kile kinachopelekea hali hii ni mlango wa kizazi unakuwa wazi ndio sababu inayopelekea kushika tena ujauzto,,
Nmesoma maelezo yako kwa uzuri,,naona kama jamaa alinijibu kienyeji na sio kitaalamu kama hv ulivyojarbu kupambanua kwa urefu zaid
Thanks,
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]maelezo safi kabisaMlango hata ukiwa wazi, kama hamna yai nothing will happen.Labda ana hoja ila hakuidadafua.Ngoja tuone kama kuna mwenye uelewa zaidi.
Aise.Mwanamke Alexandra Shaposhnikova wa Urusi ambae aliiomba Mahakama isimfunge Mpenzi wake Oleg Myshadaev mwaka 2017 baada ya kumpiga na kuharibu pua yake, ameuawa kwa kuchomwa kisu na kupigwa nyundo, na Mpenzi wake huyo
Hahaha[emoji16][emoji16]kuna uhusiono wowote kati ya malikia wetu na Lucifer?Unachokitafuta utakipata mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo wapi?
🤣🤣🤣🤣Unachokitafuta utakipata mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]