Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
As long as I live I love you
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
mwanaume mashine
South Sudan, nchi ya juzi lakini imeanza kuwabana vijana wake! [emoji6][emoji6]Mungu aendelee kuwagusa wanawake wa kiafrika.
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], acha hizo tabhani...Lini mgumu akang'amua jambo zito namna hiyo??Wife material huyu hapa wandugu! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Numby bwana..Usimdanganye dogo ataambulia vitasa deileee.Huyu mtawezana kabisa poti. Pyaar mpole mtulivu ila wewe sidhan maana wagumu wakishalainishwa tu yelewiiiii wanakua na ID tele kama mama wallah[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], acha hizo tabhani...Lini mgumu akang'amua jambo zito namna hiyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]... Wala, WAGUMU watulivu bana! Hawana tabia ya DUNGADUNGA! Ila huyo poti simuwezi, atanitia makwenzi bure! [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahahhaa yaani wewe,wenzio wanaogopa vingine wewe waogopa makwenzi aiseee endelea tu tuwa andaeitini mzoefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kukatwa mitama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kupigwa ngeta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliyeelewa amueleweshe pootiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule jamaa nikimfumania nitahisi kateleza tu, hivyo nitamsamehe hata kabla ya yeye kuniomba msamaha..Yule jamaa naye ukimfumania utamuacha kama alivyo hata akuombe msamaha vipi na unampenda kwa moyo wako wote kabisa kabisa gete gete nkoyi wako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Ulale sasa.[emoji1][emoji1][emoji1]... Tabhani ana darasa la Critical Thinking 101 Semester hii. Anayaangalia mambo kwa jicho la tatu, ameling’amua hilo! [emoji1][emoji1]