Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20190220_210341.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ni Tahadhari Kwa wadada mlio jipinda mkatafuta mtaji ktk Njia mnazo zijua wenyewe 🙌🙌🙌 USITHUBUTU KUJIUNGA KTK KIKUNDI CHOCHOTE CHA MIKOPO VIKOBA AU MAENDELEO NA DADA YYTE WA MJINI. 😥😥😥 . . UKITAKA KULIZWA KUTAPELIWA ANZISHA USHOGA NA DADA WA MUJINI. . OLE WAKO UKUBALI VIZAWADI VYA DADA WA MUJINI AKIRUDI KUTOKA CHINA MAANA BAADA YA ZAWADI ATAKUKOPA HATOKULIPA NA KUMDAI UTASHINDWA KWASABABU KISHA JIBRAND NA KUISHIKA JAMII MASHIKIO 👂👂👂 KUWA YY NI BOSS LADY. 😂😂😂😂😂😂 . . ONYO UKIINGIA DUKANI KWAKE KUNUNUA KITU USIJITAMBULISHE WW NI NANI. NUNUA BIDHAA ZAKO SEPA. KUMBUKA ☝ USIKOPE UKIKOPA ATALETA MAZOWEA HADI NYUMBANI KWAKO SHOGA ATAKUIBIA BWANA NA ATAKUROGAAA 😏😏😏🤗🤗🤗 . . USIKARIBIE VIJIWE VYA WADADA WA MJINI UKIKAA TUU UMESUTWAAA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Pesa hiyo ni ndefu na itamfanya Zidane awe na uwezo wa kukibadili kikosi hicho cha Stamford Bridge na kuifanya The Blues kutokuwa timu ya mchezomchezo tena.
 
Kilichopo ni kwamba Zidane anaonekana kuwa siriazi kwenye mchakato wa kwenda kurithi mikoba ya Maurizio Sarri kama atafutwa kazi, huku Mtaliano huyo mwenyewe akifahamu wazi kwamba mabegi yake yameshatangulia stendi.
 
Sarri mwenyewe amefichua kwamba anafahamu wazi atafutwa kazi tu kama Chelsea itafungwa tena na Manchester City kwenye fainali ya Kombe la Ligi.
 
hii ni Tahadhari Kwa wadada mlio jipinda mkatafuta mtaji ktk Njia mnazo zijua wenyewe [emoji119][emoji119][emoji119] USITHUBUTU KUJIUNGA KTK KIKUNDI CHOCHOTE CHA MIKOPO VIKOBA AU MAENDELEO NA DADA YYTE WA MJINI. [emoji26][emoji26][emoji26] . . UKITAKA KULIZWA KUTAPELIWA ANZISHA USHOGA NA DADA WA MUJINI. . OLE WAKO UKUBALI VIZAWADI VYA DADA WA MUJINI AKIRUDI KUTOKA CHINA MAANA BAADA YA ZAWADI ATAKUKOPA HATOKULIPA NA KUMDAI UTASHINDWA KWASABABU KISHA JIBRAND NA KUISHIKA JAMII MASHIKIO [emoji101][emoji101][emoji101] KUWA YY NI BOSS LADY. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . . ONYO UKIINGIA DUKANI KWAKE KUNUNUA KITU USIJITAMBULISHE WW NI NANI. NUNUA BIDHAA ZAKO SEPA. KUMBUKA [emoji121] USIKOPE UKIKOPA ATALETA MAZOWEA HADI NYUMBANI KWAKO SHOGA ATAKUIBIA BWANA NA ATAKUROGAAA [emoji57][emoji57][emoji57][emoji847][emoji847][emoji847] . . USIKARIBIE VIJIWE VYA WADADA WA MJINI UKIKAA TUU UMESUTWAAA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wadada wa mujini walitangulia kuliona jua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hiyo, kwa sababu Pauni 200 milioni itakuwepo, Zidane atapaswa kutengeneza Pauni 91 milioni zilizoongozeka kwa kuwapiga bei baadhi ya mastaa ambao ni Callum Hudson-Odoi, Marcos Alonso, Willian, Pedro, Andreas Christensen, Michy Batshuayi na Tammy Abraham.
 
Kwenye fowadi akimwongeza Icardi kwenye kucheza sambamba na Hazard na Christian Pulisic, huku kwenye beki, Kalidou Koulibaly na Alex Telles kucheza sambamba na Antonio Rudiger na Cesar Azpilicueta na golini atakuwa kipa Kepa.
 
Kwenye fowadi akimwongeza Icardi kwenye kucheza sambamba na Hazard na Christian Pulisic, huku kwenye beki, Kalidou Koulibaly na Alex Telles kucheza sambamba na Antonio Rudiger na Cesar Azpilicueta na golini atakuwa kipa Kepa.
 
Back
Top Bottom