capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
"Kuogopa kufa ni ujinga, usiogope kufa kwa sababu kila mtu atakufa, ni bora ufe ukifanya jambo la maana kuliko kufa ukiwa umekamatwa ugoni, wizi na mambo mengine maovu" Jenerali Ulimwengu.
Huyu mtawezana kabisa poti. Pyaar mpole mtulivu ila wewe sidhan maana wagumu wakishalainishwa tu yelewiiiii wanakua na ID tele kama mama wallah[emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahahhaa yaani wewe,wenzio wanaogopa vingine wewe waogopa makwenzi aiseee endelea tu tuwa andaeitini mzoefu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]... Wala, WAGUMU watulivu bana! Hawana tabia ya DUNGADUNGA! Ila huyo poti simuwezi, atanitia makwenzi bure! [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahahhaa yaani wewe,wenzio wanaogopa vingine wewe waogopa makwenzi aiseee endelea tu tuwa andaeitini mzoefu