Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Thanks for sharing and caring bro.
#CaringIsSharing
Thanks for sharing and caring bro.
Salama sis, i hope mnaendelea vizuri.😔😔😔😔😔🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Salama kabisaSalama sis, i hope mnaendelea vizuri.
Wengine ni bangi, wivu na ukonki masta. Hata iweje huwezi kumuombea mtu afe hadharani namna hii hata kama unamchukia namna gani. Siyo utamaduni wetu kabisa.Utu umepungua sana katika jamii yetu.Kuna mambo sikutarajia kuyaona bayana kwa kiasi hiki.
Asante bro. Ujinga katika jamii zetu. Mtu anamchukua mtoto kama huyu na kwenda kumfanyia mambo ya ajabu eti anafuata maelekezo ya mganga ili atajirike. Inatia huzuni sana...Thanks for sharing and caring bro.
#CaringIsSharing
Sure, nimekumbuka ile ya Lowassa.Mungu atuepushe sisi na vizazi vyetu tusiwe watu wa namna hii.Wengine ni bangi, wivu na ukonki masta. Hata iweje huwezi kumuombea mtu afe hadharani namna hii hata kama unamchukia namna gani. Siyo utamaduni wetu kabisa.
Halafu cha ajabu sasa. Mtu anayemwombea mwenzake afe asipokaa vizuri anaweza kujikuta anatangulia yeye. Wengi waliomsimanga Lowassa walishatangulia wao na kumuacha kamanda akidunda. Tuwe na akiba ya maneno....
Sana, inasikitisha sana.Hapo wazazi lazima wamshukuru Mungu.Haya mambo tunayasikia tuu kila kukicha ila yanaweza yakaikumbuka familia yoyote hivyo ujumbe kama huo ni namna nzuri ya kuwatahadharisha watu.Asante bro. Ujinga katika jamii zetu. Mtu anamchukua mtoto kama huyu na kwenda kumfanyia mambo ya ajabu eti anafuata maelekezo ya mganga ili atajirike. Inatia huzuni sana...
Mzee wa shuaini angeibuka usingesubiria jibu lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Msosi" ulikuwa kwenye hedhi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Unawezakuta msosi ulikua una chumvi chumvi 😀😀😀😀
😀😀😀😀 kwamba hukuelewa hizo chumvi chumvi😉"Msosi" ulikuwa kwenye hedhi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Akili yangu hii kuna wakati huwa naihurumia wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]