Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Ulale sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Ulale sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa nikimfumania nitahisi kateleza tu, hivyo nitamsamehe hata kabla ya yeye kuniomba msamaha..
Ndiyo nampenda kwa moyo wangu wote gete gete...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwanaharakati naye amateur huyu. Wangeweza hata kum-Jamal Khashoggi. Ukiwa mwanaharakati tena uko ughaibuni kuamua kurudi tu hivi hivi ni risky sana. Jihesabu uko uhamishoni tu na inabidi angalau uvumilie mpaka huyo unayepambana naye ameondoka madarakani. Kufanya vinginevyo ni kujitoa mhanga.South Sudan, nchi ya juzi lakini imeanza kuwabana vijana wake! [emoji6][emoji6]
Cambridge student 'detained in hellhole'
HahahaMember - Timu Roho Mbaya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1027004
Hahaha aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dave akirudi muulize Pampers za watoto sh ngapi haya mpira utakua unamchanganya tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha huu uzi hatar sanahahahahahahahahahah, halafu ndio umenikumbusha kuwa alikua anatarajia mtoto(kama haukua utani 😀).Halafu usikute Davet na Dada Beef Lasagna wanajuana 😀😀.
All in all, i hope all is good with him popote alipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Numby bwana..Usimdanganye dogo ataambulia vitasa deileee.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHapo bhana kasema sijui nini nini halafu kamalizia wakisasa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kazi kweli kweli
Akitoka De Gea,Oblak anafata huyu jamaa anajua sanaJuan Oblak
Pia ni shabiki wa kutupwa pale AtleticoDiego Simeon
Mwalimu Muhuni
Wahuni wa Madrid,wanakuacha ucheze utakavyo ila kuliona lango lao mwko,,,chini ya ulinzi imara wa GodinAtletico de Madrid