Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mapapai duh! Zitakuwa chunguu! kazi mnayo
Hahaha Swaga hizo!
😀😀😀Member - Timu Roho Mbaya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1027004
Garfield bwana!View attachment 1026962
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mkuu wewe ni Goddess ISIS
Hatujambo
Mmh pasipoti haikutosha? itakuwa Asian countriesUmenikumbusha kitu, Bro! Mwaka jana nilikwenda mji fulani usiokuwa na maduka ya kubadilisha fedha za kigeni. Basi nikaenda Benki bana, acha nianze kujazishwa forms za ajabu ajabu. Naulizwa mpaka mshahara bei gani! [emoji23][emoji23][emoji23] Eti mbona huna ID ya kibongo? Nilichoka aisee! [emoji1][emoji1]
😀😀😀 au katekwa nini?Huyo harudi. Amekwama Mwanza kwenye vilima vya Nyegezi na kona ya Bwiru [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro unataka kusemaje hapa?Ndio shem huyu?😀
You mean to archive for the future use??🤣🤣🤣 Hatari sana..Archive them?
Kuwa na Demu Mmoja Mzuri Anayejielewa, Ni Bora Zaidi Kuliko Kuwa na Mademu Wengi Wajinga Jinga.
Maana Messi Mmoja Ni Bora Kuliko Kikosi Chote Cha Chelsea..
What are you saying,"Mentally Productive"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dave akirudi muulize Pampers za watoto sh ngapi haya mpira utakua unamchanganya tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaha ntamuuliza Davet akirudi.