Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1549739496855.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante bro. Ujinga katika jamii zetu. Mtu anamchukua mtoto kama huyu na kwenda kumfanyia mambo ya ajabu eti anafuata maelekezo ya mganga ili atajirike. Inatia huzuni sana...
Sana Asee,
Nyanda za juu kusini huko wanatisha kwa mambo hayo.
Habari za majukumu kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ni ubuyu juu ya ubuyu aiseee aaah naitamani code ya pugi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikiwekwa code ya maama machache niite maa hata nikiwa kona ya bwiru nitakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom