Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

h_a_b_i_b_a_h_6___BgpS8zgAyUJ___.jpg
 
MD?

Maelezo safi kabisa. Uzi huu una watu wa kila aina kuanzia ma-Lucifer mpaka waponyaji. Na tofauti zetu hizi ndizo zimeufanya uzi uendelee kunoga pamoja na mikwaruzano ya kawaida ya hapa na pale (cc. Timu Roho Mbaya). Ndiyo maana jirani huwa anasisitiza mara kwa mara kuwa kila mtu ana umuhimu wake. I love you guys [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kweli bro.

Issue ni kwamba ni ngumu sana kujua thamani ya huu uzi kwa kupita chap chap.
 
City Football Group pia inamiliki klabu za mpira wqa miguu za New York City na Melbourne City, lakini ofisa mtendaji mkuu, Ferran Soriano alisema imekuwa ndoto yao ya muda mrefu kuwa sehemu ya kukua kwa soka nchini China.
 
Tutakuwa wavumilivu. Tuko hapa kwa ajili ya mpango wa muda mrefu."

CFG pia inaimiliki Club Atletico Torque ya Uruguay, na ina hisa katika klabu ya Girona, iunayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) na Yokohama F. Marinos inayoshiriki Ligi Kuu ya Japan maarufu kwa jina la J-League.
 
Bayern ilipata sare hiyo katika mechi iliyofanyika Merseyside na kuwafanya vigogo hao wa Ujerumani kuwa katika nafasi nzuri ya kusonga mbele kuingia robo fainali wakati timu hizo zitakaporudiana machi 13 kwenye Uwanja wa Allianz Arena.
 
Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 63 alikuwa anazungumza kutokana na uzoefu wake wa mazingira kama hayo yaliyowahi kuikuta timu hiyo. Alikuwa kwenye kikosi cha Bayern kama rais wa sasa Uli Hoeness ambacho kilifungwa na Liverpool katika nusu fainali ya michuano hiyo ya Ulaya mwaka 1981
 
Mwaka huo, Bayern pia ililazimisha sare ya bila kufungana na Liverpool kwenye Uwanja wa Anfield na Rummenigge alifunga bao katika mechi ya marudiano iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1, lakini Bayern ikaondolewa kwa sheria ya bao la ugenini lililofungwa na Ray Kennedy kwenye uwanja wa Olympic mjini Munich na Liverpool kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom