myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
poleni mlio kwenye daladala..
hahahaaaa..........Thubutu.
Vizombi vinatupiwa hapa mpaka huwa najiuliza ndani ya Uzi huu tuliomo wote kweli ni wanadamu au wenzetu wengine ni majini wanagonga like humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseehii ni Tahadhari Kwa wadada mlio jipinda mkatafuta mtaji ktk Njia mnazo zijua wenyewe [emoji119][emoji119][emoji119] USITHUBUTU KUJIUNGA KTK KIKUNDI CHOCHOTE CHA MIKOPO VIKOBA AU MAENDELEO NA DADA YYTE WA MJINI. [emoji26][emoji26][emoji26] . . UKITAKA KULIZWA KUTAPELIWA ANZISHA USHOGA NA DADA WA MUJINI. . OLE WAKO UKUBALI VIZAWADI VYA DADA WA MUJINI AKIRUDI KUTOKA CHINA MAANA BAADA YA ZAWADI ATAKUKOPA HATOKULIPA NA KUMDAI UTASHINDWA KWASABABU KISHA JIBRAND NA KUISHIKA JAMII MASHIKIO [emoji101][emoji101][emoji101] KUWA YY NI BOSS LADY. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . . ONYO UKIINGIA DUKANI KWAKE KUNUNUA KITU USIJITAMBULISHE WW NI NANI. NUNUA BIDHAA ZAKO SEPA. KUMBUKA [emoji121] USIKOPE UKIKOPA ATALETA MAZOWEA HADI NYUMBANI KWAKO SHOGA ATAKUIBIA BWANA NA ATAKUROGAAA [emoji57][emoji57][emoji57][emoji847][emoji847][emoji847] . . USIKARIBIE VIJIWE VYA WADADA WA MJINI UKIKAA TUU UMESUTWAAA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wadada wa mujini walitangulia kuliona jua.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mie sio wa mujini bwana.
Binafsi, sijawahi kusikia ila kwa utafiti wa haraka baada ya post yako hili swala halina ukweli wa 'moja kwa moja' ila kinachotokea ni kama ifuatavyo.Msaada wa kitabibu tafadhali ndugu zangu!!
Mtaan kuna story hz kuwa
Kama mwanamke mjamzito kwa bahati mbaya ikatokea mimba kuharibika/miscarriage ,,,wanadai kuwa ni rahisi sana kwa mwanamke huyo kushika ujauzito,tena kwa kipindi kifupi tu,,
Kama ni kweli,nini kinapelekea hali hiyo??
Ok bro,,maana kuna jamaa nlimsikia kuwa kile kinachopelekea hali hii ni mlango wa kizazi unakuwa wazi ndio sababu inayopelekea kushika tena ujauzto,,Binafsi, sijawahi kusikia ila kwa utafiti wa haraka baada ya post yako hili swala halina ukweli wa 'moja kwa moja' ila kinachotokea ni kama ifuatavyo.
Baada ya kushika ujauzito na baadae kupata miscariagge, mwili wa mwanamke unakua na hormones nyingi ambazo zilizokua zikilea ujauzito.Uwepo wa hormones hizi hupelekea kuvuruga mzunguko wa mwanamke(randomly) hali inayopelekea kuovulate kabla ya mda na hivyo kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito kwani mhusika anakua hajui kama mzunguko umevurugika.
Hivyo ni jambo ambalo linaweza kusababisha ujauzito usiotarajiwa kwa baadhi ya wanawake.
Inatafakarisha.Ujumbe ni mzuri huu.JIFUNZE MBINU ZA MALEZI KUTOKANA NA MAKALA HII.
*Majirani wawili wote walikuwa wamepanda maua mazuri pembeni mwa nyumba zao, jirani mmoja alikuwa kijana mmoja Engineer na jirani mwingine alikuwa Mzee Mstaafu.*
Kijana Engineer yeye alikuwa anautunza maua yake vizuri sana kwa kuyamwaligilia maji vizuri, aliweka mbolea, aliweka madawa ya kuua wadudu, alipalilia vizuri maua yake na maua yake yalipendeza na kuleta mwonekano mzuri sana.
Mzee Mstaafu yeye alikuwa anamwagalia kwa nadra sana, hakuweza kuweka mbolea za kutosha pia, hakuwahi kabsa hata kupulizia madawa ya wadudu kwenye maua yake. Na maua yake yalionekana kuwa si mazuri ukilinganisha na ya jirani kwani maua ya jirani yalikuwa _Leafy, super green and luxuarant._ *Yaani siyo siri yalivutia kwa kila aliyeyatazama*
Siku mmoja mvua kubwa ilinyesha maua ya kijana engineer yote yalingolewa na mvua kubwa wakati Maua ya mzee mstaafu yakiwa salama hayajasombwa na mvua. *Kijana engineer alishangaa sana maua yangu yenye afya nzuri yamesombwa na mvua ya huyu Mzee yamebaki hiki ni kitu gani jamani mbona maajabu.*
_Kijana Engineer alimwuliza kwa nini Maua yangu yamebebwa na mvua wakati yangu yalikuwa mazuri kuliko yako, Mzee Mstaafu akajibu Maua yangu sikuyapa Maji ya kutosha kwahiyo kuna kipindi ilibidi mizizi yake iende chini zaidi ili kupata maji ya kutosha wakati maua yako yalipata kila kitu hivyo mizizi haikuwa imezama sana chini ndiyo maana imekuwa rahisi kubebwa na mvua._
*Unaweza ukawa hupati unachokihitaji leo kwenye maisha yako kumbe kitu hicho kinakuandaa kuwa mtu imara zaidi kesho ukikutana na changamoto utaweza kushinda bila hata kujua kumbe mapungufu ya jana ni nguvu ya kesho. Usilie na hali ya sasa bali inakuandaa kuwa mwenye kusimama kesho.*
*Malezi tunayowapa hata watoto wetu lazima yawe na uwiano bila hivyo tunaweza tukawa na watoto kama maua ya Kijana engineer changamoto ndogo tu chali kwa sababu ya hadhi na fahari zetu tunafikiri kuwajali sana na kuwadekeza ndyo malezi sahihi.*
[emoji1594][emoji1594][emoji2382]Tusitarajie miujiza katika Ukomavu wa watoto wetu kupambana na changamoto za Kimaisha kama misingi ya Malezi tuwapatiayo ni legelege tangia utoto wao[emoji2992][emoji2992]
*Siku njema wana wa Mungu tuzidi kudumu katika sala. Kesho yetu ni njema sana kwa mapenzi ya Mungu*
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlango hata ukiwa wazi, kama hamna yai nothing will happen.Labda ana hoja ila hakuidadafua.Ngoja tuone kama kuna mwenye uelewa zaidi.Ok bro,,maana kuna jamaa nlimsikia kuwa kile kinachopelekea hali hii ni mlango wa kizazi unakuwa wazi ndio sababu inayopelekea kushika tena ujauzto,,
Nmesoma maelezo yako kwa uzuri,,naona kama jamaa alinijibu kienyeji na sio kitaalamu kama hv ulivyojarbu kupambanua kwa urefu zaid
Thanks,
Exactly bro,,ngoja tusubiri hoja zingine zaidiMlango hata ukiwa wazi, kama hamna yai nothing will happen.Labda ana hoja ila hakuidadafua.Ngoja tuone kama kuna mwenye uelewa zaidi.
Atakayebisha hana akili [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Already mortally wounded though ...
MD?Binafsi, sijawahi kusikia ila kwa utafiti wa haraka baada ya post yako hili swala halina ukweli wa 'moja kwa moja' ila kinachotokea ni kama ifuatavyo.
Baada ya kushika ujauzito na baadae kupata miscariagge, mwili wa mwanamke unakua na hormones nyingi ambazo zilizokua zikilea ujauzito.Uwepo wa hormones hizi hupelekea kuvuruga mzunguko wa mwanamke(randomly) hali inayopelekea kuovulate kabla ya mda na hivyo kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito kwani mhusika anakua hajui kama mzunguko umevurugika.
Hivyo ni jambo ambalo linaweza kusababisha ujauzito usiotarajiwa kwa baadhi ya wanawake.