Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Andre Villas-Boas – (2012,Pauni 12 milioni)

Mreno mwingine huyo aliyepata nafasi ya kunoa Chelsea. Baada ya kunaswa na mabingwa hao wa Stamford Bridge, maisha ya AVB kwenye timu hiyo yalikwenda kuishia Machi 2012, ambapo alifutwa kazi baada ya mambo kwenda hovyo. Hata hivyo, AVB hakuondoka Chelsea mikono mitupu, kwani amekuwa mmoja wa makocha waliolipwa fidia kubwa, aliondoka akilipwa Pauni 12 milioni na bilionea Abramovich.
 
Luiz Felipe Scolari – (2009, Pauni 12.6 milioni)

Akiwa na rekodi tamu kabisa ya kutoka kubeba ubingwa wa Kombe la Dunia 2002 akiwa na kikosi cha Brazil, bilionea Abramovich alimwona Mbrazili Luiz Felipe Scolari anafaa kwenye kuinoa timu yake, akampa kazi na bahati mbaya mambo yakamshinda. Scolari hakudumu muda mrefu kwenye timu hiyo na Februari 2009 akafutwa kazi. Hata hivyo, haikuwa aibu ya bure, kwa kitendo hicho cha kufutwa kazi, Scolari alilipwa fidia ya Pauni 12.6 milioni na bilionea huyo wa Stamford Bridge.
 
Jose Mour inho – (2007, Pauni 18 milioni)

Katika awamu yake ya kwanza Jose Mourinho huko Chelsea alipata mafanikio makubwa kabla ya kukumbana na rungu la kutimuliwa. Mourinho alitua Stamford Bridge 2004, akawapa ubingwa wa Ligi Kuu England mara mbili mfululizo kabla ya mambo kutibuka 2007 na ilipofika Septemba tu mwaka huo, alifutwa kazi. Kupoteza ajira hakujakuwa pigo sana kwa Mourinho, kwani alilipwa fidia ya Pauni 18 milioni kama fidia ya mkataba wake kuvunjwa kabla ya kufika mwisho.
 
Staa huyo alitua Bernabeu mwaka 2013 kwa ada iliyoweka rekodi ya dunia kwa wakati huo, Pauni 86 milioni. Bale aliaminika angeonyesha ubora wake baada ya Cristiano Ronaldo kutimkia Juventus mwaka jana, lakini ameshindwa kufanya hivyo na kujikuta akitolewa mara nyingi zaidi chini ya Kocha Santiago Solari.
 
Tatizo la majeruhi limedaiwa kumtibulia Bale kwa muda wake wa miaka mitano na nusu aliyokuwa kwenye kikosi hicho cha Los Blancos. Lakini, Manchester United na Chelsea zimeripotiwa kumtaka mchezaji huyo na sasa huenda zikaingia vitani mwishoni mwa msimu huu kwa ajili ya kunasa huduma yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], eti mwanga tosha..
Sema wakiwaka usoni wanawaka mpaka mdomomi[emoji23][emoji23][emoji23]...Radi + muungurumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…