Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi karibuni, Man United imewasainisha mikataba mipya wachezaji Anthony Martial, Phil Jones, Chris Smalling na Ashley Young huku kipa David De Gea akiwa kwenye hatua za mwisho kukubaliana na timu kusaini dili litakalomfanya awe analipwa Pauni 350,000 kwa wiki na kuwa kipa anayelipwa pesa nyingi zaidi kwenye Ligi Kuu England.
 
Maurizio Sarri hajui nini kitafuata kwenye mechi ijayo kama ataendelea kuwapo Stamford Bridge au atatupiwa mabegi yake na kusaka maisha sehemu nyingine. Ligi Kuu England ina mambo yasiyoeleweka tu kwa sasa. Eden Hazard haeleweki kama ataendelea kubaki The Blues baada ya msimu kumalizika. Hilo linamkabili pia Mohamed Salah huko Anfield.
 
Kama Liverpool itakuwa bingwa msimu huu na kisha vigogo wengine wa Ulaya kama Barcelona na Real Madrid zikaleta ofa ya kumtaka Mo Salah, haieleweki kama staa huyo atakubali kuendelea kubaki kwenye kikosi ha Reds. Hii ndio njiapanda ya Ligi Kuu England msimu huu.
 
Mauricio Pochettino jina lake linatajwa huko Man United na Real Madrid. Mashabiki wa Tottenham Hotspur ipo njiapanda juu ya kocha wao kama atabaki kwenye kikosi chao au atafungasha virago vyake na kuondoka, huku ikiwa haeleweki kama atatimkia Old Trafford au ataenda zake Santiago Bernabeu.
 
Mashabiki wa Spurs inavurugwa zaidi kuhusu hatima ya mastaa wao Harry Kane, Dele Alli na Christian Eriksen kama wataendelea kubaki kwenye timu Pochettino akiondoka. Hivi ndivyo timu za Big Six zilivyojaa mambo mengi yenye utata.
 
Mashabiki wa Spurs inavurugwa zaidi kuhusu hatima ya mastaa wao Harry Kane, Dele Alli na Christian Eriksen kama wataendelea kubaki kwenye timu Pochettino akiondoka. Hivi ndivyo timu za Big Six zilivyojaa mambo mengi yenye utata.
 
Vipi kama Liverpool itamwamini tena Klopp na kutumia pesa nyingi kama itashindwa kubeba taji msimu huu. Haijulikani kitu gani kitamfanya Hazard aondokane na mawazo ya kwenda Real Madrid. Mashabiki wanavurugwa. Hawafahamu baada ya msimu huu nini kitatokea kwenye Big Six.
 
Guardiola hana uhakika wa kuhusu straika wake namba moja, Sergio Aguero kama ataendelea kubaki kwenye timu hiyo endapo watashinda ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu. Akiondoka, nani atakuja kuchukua mikoba yake kwenye kufunga hasa ikizingatiwa kwamba Gabriel Jesus ameshindwa. Ndio hivyo, Ligi Kuu England msimu huu ni pasua kichwa!
 
*Ni Tanzania pekee unakutana na mtu amezunguka kutwa nzima anapigwa jua huku anauza kitabu kilichoandikwa*

*""JINSI YA KUWA BILIONEA KWA MTAJI MDOGO""[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na hawa wa GNLD, For Ever Living na wengineo...[emoji116][emoji116][emoji116]
2019-02-20%2011.29.07%201983329712575809876_7948956934.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], baridi!!! Kwanini wasikoke moto??? Mablanketi je???
Niache mieeee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini "wasiote" moto natural? Unazijua gharama za kuni huko?

Kwa nini "wasijifunike" mablanketi chapa mtu?

Kwa huo moto na mablanketi unayoyasema, ule utamu upitao utamu wote hapa duniani wataupataje?

Tuwaache wafaudu japo pia ndiyo wanaongoza kwa maambukizi ya kale kaugonjwa...
 
Back
Top Bottom