Ni sawa na hawa wa GNLD, For Ever Living na wengineo...[emoji116][emoji116][emoji116]*Ni Tanzania pekee unakutana na mtu amezunguka kutwa nzima anapigwa jua huku anauza kitabu kilichoandikwa*
*""JINSI YA KUWA BILIONEA KWA MTAJI MDOGO""[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini "wasiote" moto natural? Unazijua gharama za kuni huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], baridi!!! Kwanini wasikoke moto??? Mablanketi je???
Niache mieeee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Za asubuhi njema sana shemela. Huko kwenu hamjambo? Wasalimie huko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Za asubuhi shemela