Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
There is a voice that does not use words. Listen.
siku hizi binadamu wanaiga.....
Pengine hata zaidi ya kutaniana ohooo !!!aiseeee......hapo ukute walikua wanataniana kwa saaana....
Jirani bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]siku hizi binadamu wanaiga.....
jamaa anaweza kuwa kapiga vyombo,, sijui itakuwaje baada ya hapo😀😀😀😀Pengine hata zaidi ya kutaniana ohooo !!!
...na kitu cha muda unakifaudu wakati muda ungalipo...na muda ukipita unarudi kwenye visivyohitaji muda. Kesi kulozidi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo itakuwa NOMA SANA (in ZOPPA'S voice wallahi) [emoji16][emoji16][emoji16]jamaa anaweza kuwa kapiga vyombo,, sijui itakuwaje baada ya hapo😀😀😀😀
duh!! hakuwahi kutumia chombo chake...Mungu Ambariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1029072
[emoji16][emoji16][emoji16]Hajui kusoma au laa haziamini mbinu zilizomo*Ni Tanzania pekee unakutana na mtu amezunguka kutwa nzima anapigwa jua huku anauza kitabu kilichoandikwa*
*""JINSI YA KUWA BILIONEA KWA MTAJI MDOGO""[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Sent using Jamii Forums mobile app