gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,383
- 7,227
Hyo apo love 🙂 🙂I'm ryt here.we nipe like,I'll like u back.As always.[emoji4]
DuuhUkijiona hupendi kutoa like na wivu wako sepa eeeeh
Utashushuliwa
Siunajua tena hii mida unakuwa mbali na simu...naibia ibiaMbona ww umestuck
Nani mwenye bahati namna hiyoChorus
Nimekuchagua wewe, uwe wangu
Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno watu wasemayo
Yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja
Nimekuchagua wewe, uwe wangu
Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno watu wasemayo
Yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja
PoleBahat mbaya voda wanazingua netwrk
TishaaChorus
Nimekuchagua wewe, uwe wangu
Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno watu wasemayo
Yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja
Nimekuchagua wewe, uwe wangu
Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana
Sijali mengi maneno watu wasemayo
Yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja
90k naiimbiaNani mwenye bahati namna hiyo
Are u saying ur immortal..Herb ina healing power ya ajabu mkuu kuliko vitu vingi
DuhIngia ucheze