Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ya Ngoswe na aachiwe Ngoswe...
Ingekuwa mimi hakuna mwanasiasa ambaye angekanyaga mbinguni indeed wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ya Ngoswe na aachiwe Ngoswe...
Kwakweli ", umewaza vyema sanaYa Ngoswe na aachiwe Ngoswe...
Ingekuwa mimi hakuna mwanasiasa ambaye angekanyaga mbinguni indeed wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi ni kwamba wanatumia sana hadi zinaisha au huwa hawapelekewi za kutosha?
Hii ni kama fasihi. Kila mtu na tafsiri yake. Mi nimegundua kile kidole cha kati (midofinga) na chenzake havina kucha kama vilivyo vingine. Ze kwesheni izi whai? [emoji16][emoji16][emoji16]Umegundua nini??
Nme zoom pia, nilichogundua she is single,
She got no ring!! Ha hah
😂😂😂😂😂😂😂 ahaaaaaa,Umegundua nini??
Nme zoom pia, nilichogundua she is single,
She got no ring!! Ha hah
Relativity.