cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
AsanteVerse 2
Na kwa pete hii, ninakuoa
Uwe mke wangu wa ndoa
Hakika wewe ni ubavu wangu
Kwa penzi nimefika, kama meli
Nimetia nanga kwako, pengine kato sitamani
Umewaacha wazazi wako, baba na mama
Kwa mapendo umeungana
Katika ndoa takatifu, na leo si wawili tena
Tu mwili mmoja, tumwwombe Mungu atujalie
Ndoa yenye baraka, tuje tuzae na watoto
Waizunguke meza yetu, upendo utawale nyumba yetu
Tuwe wa wakarimu kwa wageni wetu wote
Hii nikiiskia napata machunguVerse 2

[emoji108][emoji108][emoji108]Ngozi ya kitimoto haiwambi ngoma
Natamani uwe ujumbe wanguVerse 2
Na kwa pete hii, ninakuoa
Uwe mke wangu wa ndoa
Hakika wewe ni ubavu wangu
Kwa penzi nimefika, kama meli
Nimetia nanga kwako, pengine kato sitamani
Umewaacha wazazi wako, baba na mama
Kwa mapendo umeungana
Katika ndoa takatifu, na leo si wawili tena
Tu mwili mmoja, tumwwombe Mungu atujalie
Ndoa yenye baraka, tuje tuzae na watoto
Waizunguke meza yetu, upendo utawale nyumba yetu
Tuwe wa wakarimu kwa wageni wetu wote
Kweli
Hii nikiiskia napata machungu
the BULLTunafikaaa
Angalia boss asije kukuona 🙂 🙂Siunajua tena hii mida unakuwa mbali na simu...naibia ibia
Of CaribbeanPirates
Hapo sawaSalome juu ya kaburi lako nalia aaa!
Kilio nakisikia, dakika za mwisho
Mpenzi wangu najutiaa kosa nilokufanyiaa
Siku ya pili tena ilipofikia
Asubuhi mapema ni-nikakimbia
Nikakimbia kuelekea Mbeya
Huku nyuma Salome uliningojea
Saa dakika, sekunde zilipotokea
Ulichoka mpenzi kwa kuningojea
Ikabidi uje kuniulizia
Nyumbani wakesema Dully ameshakimbia
Salome mpenzi wangu