gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,383
- 7,227
Ther
Unanirudisha mbali sana mtoto mzuri bila shaka rika langu wewe[emoji39] [emoji39]Salome juu ya kaburi lako nalia aaa!
Kilio nakisikia, dakika za mwisho
Mpenzi wangu najutiaa kosa nilokufanyiaa
Siku ya pili tena ilipofikia
Asubuhi mapema ni-nikakimbia
Nikakimbia kuelekea Mbeya
Huku nyuma Salome uliningojea
Saa dakika, sekunde zilipotokea
Ulichoka mpenzi kwa kuningojea
Ikabidi uje kuniulizia
Nyumbani wakesema Dully ameshakimbia
Salome mpenzi wangu
Unanirudisha mbali sana mtoto mzuri bila shaka rika langu wewe[emoji39] [emoji39]
Nlikuwa la kwanza enzi izoUnanirudisha mbali sana mtoto mzuri bila shaka rika langu wewe[emoji39] [emoji39]