πππ njoo
Nimeona bhana.Sio insta ni humu humu kule mji mzito huu
Mange ni chizi lile[emoji125][emoji125][emoji125]twende kwanza tukamuone mange katika fekero akimsifia zari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boring sana. Nipo na wakorea hawana hizi ishu japo nao khaaa denda nje nje (mwanamke kwa mwanaume)wanalegezana hapo weee mpaka kitu toko toka mara mmoja anahairisha pambano shuaini zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daveeeeettttt.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti pole na mitihani.Asante sana bhana....
za kuadimika nzuri tu, ila pole na mitihani pia fanya mpango tuonane bhana
Mara ya kwanza naiona nilijua ni wa south.Hatari sana hao Waganda waliua
Pole kwa yaliyokukuta jirani[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Akikuudhi mmoja ..usichukie wote.
Watu wahafanani...
Asante jirani na hongera jirani...Pole kwa yaliyokukuta jirani[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh maana niliona unaambiwa all the best na Esta ndio nikajua unatoa sapu π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti pole na mitihani.
Asante bhana,pole na wewe.
Itabidi iwe hivyo aiseh[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππDaveeeeettttt.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app