Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Yaani mi niliachaga hivyohivyo kila scene is disgastingi ilianzaga vizuri wakaharibu walivyoanza issue zaoLishoga hili ndiyo lilinikatia stimu ya kuiangalia hii show kwa sababu scenes za kishoga zilizidi halafu bado linaleta drama eti kudraw attention ili liwe femazi na hivyo kuongezewa mshiko. Afadhali wameliondoa...