Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tulikumisimo piaAlhamdulillah nipo njema sana ila kukukumbuka tu ndio shida yangu, wazungu wanasema kukumiss 😀
Tulikumisimo piaAlhamdulillah nipo njema sana ila kukukumbuka tu ndio shida yangu, wazungu wanasema kukumiss 😀
We na shogako siyo watu wazuri. Kijana wa watu mlimshupalia wakati mgeni mgeni kwenye uzi mpaka kweli akawaonyesha vidole na kiganja kizima. Yu a noti gudi pipo indeed wallahi mane lavusi mi ...Daveeee nimemisi kucha ,tuzioneeee
Sababu ya masimango miongon mwao kwa wao. Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzieIf i may ask...why do african(tz) women feel uncomfortable to tell people abt their age
Tulia basi bro maana safari hii tukiwa na bahati tutaoneshwa six pack na muzee ya iphone ujueWe na shogako siyo watu wazuri. Kijana wa watu mlimshupalia wakati mgeni mgeni kwenye uzi mpaka kweli akawaonyesha vidole na kiganja kizima. Yu a noti gudi pipo indeed wallahi mane lavusi mi ...
Nshatulia tuliiii...Tulia basi bro maana safari hii tukiwa na bahati tutaoneshwa six pack na muzee ya iphone ujue
Tulia basi bro maana safari hii tukiwa na bahati tutaoneshwa six pack na muzee ya iphone ujue
Empire ushoga umeharibu sana! Ilkua poa sana kushinda hata POWER!!Lishoga hili ndiyo lilinikatia stimu ya kuiangalia hii show kwa sababu scenes za kishoga zilizidi halafu bado linaleta drama eti kudraw attention ili liwe femazi na hivyo kuongezewa mshiko. Afadhali wameliondoa...
We na shogako siyo watu wazuri. Kijana wa watu mlimshupalia wakati mgeni mgeni kwenye uzi mpaka kweli akawaonyesha vidole na kiganja kizima. Yu a noti gudi pipo indeed wallahi mane lavusi mi ...
Bado hajaziona. Angeziona wambea tungepata hints zamaaaanNshatulia tuliiii...
Ila aliyekuwa anaziomba atakuwa keshaziona. Huu uzi kuhama haiwezekani wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo. In real life pia ni shoga. Ndiyo ishu nzima iko hapo. Amewalipa jamaa wawili wakamfinya kidogo akaanza kudai kuwa amefanyiwa hate crime kwa vile ni shoga tena mweusi. Kumbe lengo ni kuongezewa mshahara kwenye show. Sasa imeback fire kafukuzwa mazima.Empire ushoga umeharibu sana! Ilkua poa sana kushinda hata POWER!!
Jamaa pia ni actor mzuri. Sijui kama in real life ni shoga pia.
Nilianza zichukia zile sinema za kihispania sababu ya mashoga daah walikua wanaboa wale balaa. Hio empire hata sijawah iona duh ushoga kila konaLishoga hili ndiyo lilinikatia stimu ya kuiangalia hii show kwa sababu scenes za kishoga zilizidi halafu bado linaleta drama eti kudraw attention ili liwe femazi na hivyo kuongezewa mshiko. Afadhali wameliondoa...
Kuweni na subira...Bado hajaziona. Angeziona wambea tungepata hints zamaaaan
Pole sana, wanawake jmn!!Sababu ya masimango miongon mwao kwa wao. Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
Ushoga ni ajenda inayosukumwa kwa nguvu zote. Trump pamoja na kuwakomalia mashoga hapa kwake bado ametoa mwongozo kuwa atakomaa na nchi zote zitakazowanyanyapaa. Hata sijui what is so special kuhusu ushoga kwa kweli. Yaani hapa ukitaka career yako ife kosea tu useme kitu kibaya kuwahusu...Nilianza zichukia zile sinema za kihispania sababu ya mashoga daah walikua wanaboa wale balaa. Hio empire hata sijawah iona duh ushoga kila kona
Pole sana, wanawake jmn!!
Kwa hivyo una umri gani Numbisa?
HahahahahaaKuweni na subira...
Siksi paki miksa ya waongera mmawaksi na nogambaki waitu sipati picha wallahi[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nimetega masikio yoteeeee...[emoji16][emoji16][emoji16]Pole sana, wanawake jmn!!
Kwa hivyo una umri gani Numbisa?
Duuh aiseee lile shimo sijui lina madini gani mpaka walindwe hivyo shuaiin zaoUshoga ni ajenda inayosukumwa kwa nguvu zote. Trump pamoja na kuwakomalia mashoga hapa kwake bado ametoa mwongozo kuwa atakomaa na nchi zote zitakazowanyanyapaa. Hata sijui what is so special kuhusu ushoga kwa kweli. Yaani hapa ukitaka career yako ife kosea tu useme kitu kibaya kuwahusu...
View attachment 1030388
Aaaa wapi. Umri huo hauendani na ile ishu ya Madilu Multisysteme...36 soon 37[emoji125][emoji125]