Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hovyo sana huyo mama. Mhindi halafu....😀😀😀😀 nakweli hicho ni kipaji maana sio poa
Hovyo sana huyo mama. Mhindi halafu....😀😀😀😀 nakweli hicho ni kipaji maana sio poa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatimae umeibukaaa😀😀 Sawa tuuuuuu
Uko poa?
Basi hakijaharibika kitu maana upendo na amani ndio kila kituHumu naamini kuko salama kabisa. Upendo unaendelea kutawala....
[emoji445][emoji444][emoji443]Nitarudi tena Mwanza Oooh[emoji445][emoji444][emoji443][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatimae umeibukaaa
Nipo poa,za muadimiko?
Hahaha ..curiosity killed a catUko mzima wewe? Siksi paki za jana umeshaonyeshwa? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sinasikiaga Wahindi sio waumini wakubwa wa hayo mambo ya mitalimbo sasa huyo mixer hayo ya man made?Hovyo sana huyo mama. Mhindi halafu....
Mmmh tushasahau ujueeevs Man city ilikuaje kwani?
Alhamdulillah nipo njema sana ila kukukumbuka tu ndio shida yangu, wazungu wanasema kukumiss 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatimae umeibukaaa
Nipo poa,za muadimiko?
Lete mrejesho bana [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha ..curiosity killed a cat
Ndio nakukumbusha sasa 😀Mmmh tushasahau ujueee
Simwagi mtama kwenye kuku wengi 🤣Lete mrejesho bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Basi sawa. Wikendi inaendeleaje lakini?Simwagi mtama kwenye kuku wengi [emoji1787]
Safi tu! chilaxingBasi sawa. Wikendi inaendeleaje lakini?
Na dinner dates juu..na vil lanchiii..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1030241