Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Naipenda sana hii. It is kind of philosophical...Jicho la tatu ...Kujiona, kujitambua na kujithamini kiundani kabisa kiurazini na kinafsiya katika bonde la fikra, hulka, roho na utu...and that's basically you - tata, changamano, timilifu and yet simple and elegant. You are the embodiment of complex perfectionism. You are the universe...!!!
Hahahah! Asanteningendako mitihani mema
carbamazepine all the best
Davet best wishes
[emoji125][emoji125][emoji125]
vs Man city ilikuaje kwani?Chelsea vs man u 22:00
Wewe ni mtu wa muhimu sana humu. Ndiyo maana ukipotea huwa tunakutafuta kwa kila mbinu. Natumaini hujambo na maisha yanaendelea vyema.
Hahah mkuu mkuu
Mmmmh!
Mkizidisha tu matani huyooo anapotea tena. Safari hii hakuna cha kukwama MZA wala stori za Nyegezi wala nini. OK?Aiseeeee! SYB naona kafanya yake
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hahah mkuu mkuu
Niko poa ndugu yangu, natumaini ata wewe utakua poa pia........ Kwakweli tumeshakua kama familia moja maana me pia huwa nawakumbuka kila siku ila kuna mambo yananifanya nishindwe kujumuika kama zamaniWewe ni mtu wa muhimu sana humu. Ndiyo maana ukipotea huwa tunakutafuta kwa kila mbinu. Natumaini hujambo na maisha yanaendelea vyema.
Yote kwa yote Tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai. Mengine yote ni madogo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Niko poa ndugu yangu, natumaini ata wewe utakua poa pia........ Kwakweli tumeshakua kama familia moja maana me pia huwa nawakumbuka kila siku ila kuna mambo yananifanya nishindwe kujumuika kama zamani
Hii picha naona kama imeeditiwa hivi
HahahahahDavet [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1026980