Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Safari hii vita yao itakuwa kwenye fainali ya Kombe la Ligi, mechi inayodaiwa Chelsea akifungwa tena tu, basi Sarri huenda akafungashiwa virago vyake na kuambiwa kwaheri.
 
Ni mechi ngumu na hakika hakutakuwa na kitu chepesi katika mchezo huo, Sarri akitaka kulinda ajira yake na mastaa wake wakitaka kuwaondoa aibu mashabiki wao kwa kupiga zile Sita Bila kwenye mechi iliyopita walipokutana na chama hilo la Pep Guardiola.
 
Kuhusu ligi, mechi nyingine zitakazopigwa leo Jumamosi ni pamoja na Tottenham Hotspur itakayokuwa ugenini kwa Burnley, huku Bournemouth ikiwa mwenyeji wa Wolves na Newcastle United ikicheza na Huddersfield kabla ya Leicester City kujimwaga King Power kumkabili Wilfried Zaha na chama lake la Crystal Palace.
 
rubik's cube
IMG_20190223_184455[1].jpg
 
ILE siku ndio kesho Jumapili. Manchester United itacheza na Liverpool huko Old Trafford. Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amekiri Ole Gunnar Solskjaer si Jose Mourinho, hivyo inawatarajia Man United tofauti kabisa hiyo kesho. Solskjaer hajapoteza mechi kwenye ligi tangu alipoanza kuinoa timu hiyo.
 
Wakongwe kibao wa Man United akiwamo Rio Ferdinand na Mikael Silvestre walikwenda kwenye mazoezi ya timu hiyo, ikielezwa kwenda kumpa mzuko Ole ili awachape Liverpool hiyo kesho Jumapili. Upinzani wa Man United na Liverpool ndio unaomfanya staa wa huko Anfield, Mwingereza James Milner kufichua kitu.
 
Muigizaji wa Marekani Jussie Smollet ameondolewa kwenye simulizi ya Empire na hatokuwepo katika episode mbili zilizobaki. Myayarishaji wa simulizi hiyo amethibitisha. Hata hivyo timu yake bado inasisitiza kuwa alivamiwa na kupigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lishoga hili ndiyo lilinikatia stimu ya kuiangalia hii show kwa sababu scenes za kishoga zilizidi halafu bado linaleta drama eti kudraw attention ili liwe femazi na hivyo kuongezewa mshiko. Afadhali wameliondoa...
 
Back
Top Bottom