carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Esta ni changamoto huyu.Eeeh maana niliona unaambiwa all the best na Esta ndio nikajua unatoa sapu 😀
hahah asante ila mimi ni mitihani ya maisha tu
That's my young bro [emoji122][emoji122][emoji122]Wala usijali Bro, niko poa.
We good.
Hivi alikosea akasema alikuwa standadi seveni au standadi wani? Nimesahau aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kifo cha nyerere ulikuwa wapi?
andjul
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kinamuuma kweli ataweza kutetema? Atapasua breini kapilarizi aishie kwa Shigongo. Auchape usingizi tu kama alivyoshauriwa.@Bradha ukishindwa hii ofa uliyopewa nitashangaa sana[emoji23]
Esta anakuita ukateteme kama jenereta[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
That's my young bro [emoji122][emoji122][emoji122]
Buku ipo sema tu nadunduliza mwaka huu usiishe bila kununua aifoni [emoji16][emoji16][emoji16]
kichwa dada yangu.Mi mzima..sijui weye
Usingizi nishalala sana but where!😥Dawa ya kichwa usingizi,no uji wala kona ya bwiru kwa leo utaweza?