Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ustadh alitaka kuongeza Mke wa pili akataka kuchukua rai kutoka kwa Mkewe kwa njia ya hikma: MUME: Wajua Sayyidna Ali bin Abitalib alioa wake wangapi? MKE: Alioa Wake wengi kwaiyo na wewe unataka kusema nini?? MME: Nataka kuishi Maisha ya kisunna kama Alivyoishi Saydina Ali. MKE: (Ashashtuka hapo) Wewe wajua Sayyidna Ali alipigana vita vya jihadi vingapi? Kama wataka kuwa kama yeye si ungekwenda ukaikomboa Masjid Aqswa kutoka kwa mayahudi! MUME: (Alikuwa Kasimama Akakaa Kwanza..) MKE: Katika vita vya Bani Khaybar, Sayyidna Ali alikwenda akavunja mlango wa ngome ya mayahudi na kuwashinda. Wewe juzi mwanao amejifungia chooni tu mlango umekushinda mpaka tukaleta fundi! MUME (Alikuwa kakaa akavua viatu, na kofia akaweka mezani..) MKE: Sayyidna Ali alikua akifanya ibada usiku jangwani peke yake mpaka akipotewa na fahamu kwa khushuu. Wewe ukiona panya tu hapa waweweseka mpaka usingizini. MUME (Akavua kanzu akajitupa kitandani.) MKE: Wakati wa Hijra Sayyidina Ali aliachiwa mali za Watu na Akawarudishia wenyewe Zote bila kupunguza Wewe umeachiwa Mali za urithi una Kazi ya kugombana na ndugu zako tu kila siku kuwagawia hutaki Halafu wataka uwe km Sayidna Ali labda uwe Ali Kiba. MUME: Basi Mke wangu yaishe hebu mlaani sheitwani tulale sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo nimeenda mgahawani kula.. Nikaona sijala chips siku nyingi.. Nikaagiza chips mayai nikamuambia jamaa anifungie nikale home.. Nimefika njiani harufu ikanishinda kuvumilia.. Nikafungua mfuko nikaanza kuzidokoa. Nimefika geto chips zimeishia njiani .. Na sijashiba kabisa.. Ndio inabidi nirudi tu nikaagize ugali Kama kawaida yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NIKIWA KWENYE DALADALA LEO NIMEONA MWANAMKE ANATOA NAULI KWENYE WIGI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulimtumia mama ako picha ya girlfriend wako ikiwa na make up na ma filter kama yote🤔 sasa unampeleka akamuone mkwewe home anauliza yule mweupe uligombana nae?😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kupigwa bumbuwazi ni nini ? Ni pale umetumiwa voice note na mpenzi wako ya karibu dakika moja unafurahia unaamua kuchukua earphone ili usikilize anasemaje unakutana na sauti inayosema "achana na Mimi sio type yako tafuta vinuka mkojo wenzio mbwa wewe mwanaume gani hujiongezi kwanza sitaki mazoea na namba zangu futa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni kweli kabisa. Misambwanda ngwee lakini ukiangalia sura ni za Ankoo zao... [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

tapatalk_1551039370489.jpeg
[/b]
 
Sare hiyo ni mafanikio makubwa kwa kocha Jurgen Klopp dhidi ya watani wao wa jadi, lakini wanepoteza nafasi nzuri ya kuwakimbia wapinzani wao katika mbio za ubingwa Manchester City.
 
Mkhitaryan aliongeza bao la pili kwa shuti kali la chini lililokwenda moja kwa moja wavuni na kujihakikishia pointi tatu muhimu.
 
Back
Top Bottom