Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The champions
FB_IMG_1551072241117.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukumbushane muda wa kustaafu (Retire).

Age Retirement
1958. 60 _________2018
1959. 59 _________2019
1960. 58 _________2020
1961. 57 _________2021
1962. 56 _________2022
1963. 55 _________2023
1964. 54__________2024
1965. 53__________2025
1966. 52__________2026
1967. 51__________2027
1968. 50__________2028
1969. 49__________2029
1970. 48__________2030
1971. 47__________2031
1972. 46__________2032
1973. 45__________2033
1974. 44__________2034
1975 43___________2035
1976 42___________2036
1977 41___________2037
1978 40___________2038
1979 39___________2039
1980 38___________2040
1981 37___________2041
1982 36___________2042
1983 35___________2043
1984 34___________2044
1985 33___________2045
1986 32___________2046
1987 31___________2047
1988 30___________2048
1989 29___________2049
1990 28___________2050
1991 27___________2051
1992 26___________2052
1993 25___________2053
1994 24___________2054
1995 23___________2055
1996 22___________2056
1997 21___________2057
1998 20___________2058
1999 19___________2059
2000 18___________2060

Sina Ubaya wowote, tunakumbushana tu
ili mtu ajipange.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga hujatutendea haki [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ramos vs Villarreal – 2012

Ilikuwa ni siku ya kuvunja rekodi kwa Sergio Ramos. Ilikuwa ni siku ambayo alikuwa anaichezea Real Madrid mechi ya 300 lakini hakutuacha hivi hivi. Siku hiyo hiyo akavunja rekodi ya kuonyeshwa kadi nyekundu nyingi katika historia ya La Liga. Pambano lilitawaliwa na ugomvi mwingi na Ramos alionekana akimpiga teke kisha kiwiko mshambuliaji wa Villarreal, Nilmar. Hasira zilitawaliwa pambano hilo kiasi kwamba Mesut Ozil naye alitolewa nje kwa kadi nyekundu huku kocha Jose Mourinho pia akipelekwa jukwaani. Pambano lilimalizika kwa sare ya 1-1.
hahahah hilo teke nmelipenda
 
Mbunye achana nayo kamanda,[emoji16][emoji16][emoji16]watu wanabugia nazi kavu,karanga mbichi, mihogo mibichi nk. Wote hao ukiwauliza watakuambia wanajiandaa na mechi za 6x6.[emoji16][emoji16][emoji16]Shikamoo mbunye

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo Mungu wanaume kweli Alituweza. Tena uipate ile nene ya moto tonono iliyoumuka kama likitumbua lililopikwa mwishoni mwishoni likazidishiwa unga; haki ya nani mwenye nayo unaweza kumwahidi hata kumnunulia hela. Ndo maana wafalme na mashujaa wa imani kama akina Daudi na Samsoni wote walipata misukosuko kwa sababu ya hii kitu. Mimi naiitaga ni weponi ofu meni desiturakisheni...

#TutaokokakwaNeematu#
 
JF hii, kama ilivyo mtaani, ni pori...kuna kuwinda, kuwindwa na kuwindana. Na kupunguza rabsha njia bora ni kufunga PM tu tena kwa makufuli imara iwezekanavyo....

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Naona uzi umeondolewa. Walitajana mpaka majina?

Braza unaharibu sasa, watu tunaomba tufunguliwe huko PM, sasa wakiona hapa si ndio watazidi kukaza? Tufungulieni jamani ili tuweze kutupiamo hata ka salamu tu! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Back
Top Bottom