Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455925971_58553~2.jpeg
 
Lakini, jambo hilo limemfanya Messi kuandika rekodi ya kufikisha hat-trick 50 katika maisha yake ya kuitumikia Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, huku kwenye mchezo huo wa juzi, akiisaidia timu hiyo kutokea nyuma mara mbili na kupata ushindi muhimu mbele ya wagumu Sevilla.
 
Messi amekuwa akiwatesa sana Sevilla kwa kuwafunga hata kama watacheza kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Ramon Sanchez Pizjuan, ambapo sasa ameifunga timu hiyo mara nyingi kuliko nyingine yoyote ile, mabao 28, huku ndani yake kukiwa na hat-trick tatu.
 
Katika mechi hiyo, ukiweka kando kufunga mara tatu, lakini Messi alihusika pia katika kutoa asisti ya bao la nne lililofungwa na straika Luis Suarez. Kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliofanyika wiki iliyopita, Messi alishindwa kuonyesha maajabu yake ya kufunga baada ya mchezo huo kumalizika kwa sare ya bila kufungana ugenini na sasa, Olympique Lyon watakuwa na kazi ya kwenda kuwakabiliwa wakati hao huko Nou Camp.
 
Katika La Liga msimu huu, Messi sasa amefikisha mabao 25 na kushika usikani kwenye mbio za kufukuzia Kiatu cha Dhahabu cha ligi za Ulaya, huku Kylian Mbappe akimfukuzia katika mchakamchaka wa ufungaji bora kwa Ulaya yote.
 
Katika La Liga msimu huu, Messi sasa amefikisha mabao 25 na kushika usikani kwenye mbio za kufukuzia Kiatu cha Dhahabu cha ligi za Ulaya, huku Kylian Mbappe akimfukuzia katika mchakamchaka wa ufungaji bora kwa Ulaya yote.
 
Mambo yamekuwa sawa upande wao, huko Old Trafford matokeo yaliishia kuwa sare ya bila kufungana, hiyo imewafanya Arsenal kurudi kwenye nafasi ya nne kufuatia ushindi wao wa mabao 2-0 dhidi ya Southampton, huku Man City wao wakiondolewa kileleni, lakini wakichelekea kwa sababu wa wamezidiwa pointi moja tu na Liverpool huku kila timu ikiwa imeshuka uwanjani mara 27.
 
Back
Top Bottom