Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye mechi ya Liverpool wachezaji wenu wengi waliumia mwanzoni mwanzoni tu. Nilidhani mtafungwa. Mkikachukulia katimu haka siriazi mtakafunga.Injuries zinatutesa Bro, star wote (10 players) wapo nje kwa majeraha.
Palace inaweza kua bora zaidi kuliko kikosi chetu leo.