Umetoa ile avatar ya katoto innocent kenye dimples na kurudisha hii ya kishari shari eeh!? Hii angalau kidogo inakurudishia u rolo modo kidogo. Kale katoto ulikuwa unakaonea tu kwa kweli kwa sababu hamuendani kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Ubingwa wa kwanza katika Karne hii, Manchester United ilitwaa ikiwa na Mikael Silvestre hakuna mchezaji aliyeanza mechi nyingi zaidi yake katika msimu wa 1999/2000 chini Sir Alex Ferguson.