Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
April 20, Manchester City watakuwa nyumbani kucheza na Tottenham na wakiruhusu kichapo au sare basi Liverpool itakuwa akichekelea kuelekea katika mbio za ubingwa. Kama Tottenham itakuwa amechapwa huku Arsenal, Manchester United na Chelsea wakiwa katika mwendo mdundo basi kuna uwezekano mkubwa akaondoka zake Top Four.