Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika kuzuia presha ya kupanda, tuendelee kuzingatia kanuni za afya zinavyotuelekeza. Pia, matumizi salama ya dawa ya Aspirin husaidia katika kupambana na tatizo hili.
Dozi ndogo ya Aspirin (80mg). Pia ni kinga nzuri ya kansa za matumbo na watu walio kwenye hatari ya (au waliowahi) kupata heart attack. Lakini kwa vile ni blood thinner inaweza pia kusababisha kuvuja kwa damu hovyo na vidonda vya tumbo. Ezi yujo, ushauri wa daktari muhimu hasa kama itatumika kwa muda mrefu au kama mtumiaji ni mhenga (65+)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…