HahahaKuku ni hamu tu,maharage ndio mboga!
Kwema kabisa.. mitihani imeisha?Hahaha inabidi iwe hvyo,hakuna jinsi
Kwema ndugu yangu??
Aaa wapi [emoji16][emoji16][emoji16]Inaingia na 5 Hiyo
kili marathonAaa wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
kili marathon
πππππππππππππππππππMtabinuka sana mpaka mteguke viuno. Shwaiiini....
View attachment 1036134
Wahenga wanamjua[emoji16][emoji16][emoji16]Ha! hata wewe? hivi nafanana na nani kwani kwenye uandishi? I always pride myself to be unique..huyo twin wangu ni nani nikamsabahi