capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji23][emoji23][emoji23]sauwa.
Hapa nilipo nasubiria kwa hamu pambano la Real Madrid na Barcelona
Naanza kupata wasiwasi, upo salama kweli??
Huu utani wa Gold Crest ni wa muda mrefu humu and I hope kila mtu anafahamu hivyo. Kama umepitwa na wakati naweza kuuacha. Gold Crest room kwa siku dola 200+ Msukuma miye hata ndani sikujui kukoje. Nilipita tu pale nje kushangaa kunavyong'ara halafu nikala kona kwenda kupiga picha kwenye lisamaki letu lile...[emoji16][emoji16][emoji16]Hope hii unatania bro.
Wasiwasi wa nini dunia hii tamu huku ubuyu huku mpira daah hapa nataman everton ampige mzee wa liver mambo yapambe moto
Nimeshangaa sana kusikia kuwa bro naye alishapigwa [emoji16][emoji16][emoji16]Amen. Hope ushasahau machungu ya buku tano.
Hahaha nilishasahua tayaliAmen. Hope ushasahau machungu ya buku tano.
Diplomatic skills are not needed. What you need is the ability to shout!
View attachment 1036988
Hii coment bila ya picha ya lisamaki ukiwa umelinyooshea kidole inakuwa haijakamilika.Huu utani wa Gold Crest ni wa muda mrefu humu and I hope kila mtu anafahamu hivyo. Kama umepitwa na wakati naweza kuuacha. Gold Crest room kwa siku dola 200+ Msukuma miye hata ndani sikujui kukoje. Nilipita tu pale nje kushangaa kunavyong'ara halafu nikala kona kwenda kupiga picha kwenye lisamaki letu lile...[emoji16][emoji16][emoji16]
Haaaa aiseee jana nimepitwa kumbe maana nilikua busy kufatilia msiba uwiiiiiBarc na Madrid mech ilkua jana, unasubri vipi wakati tunayo matokeo tayari??
I wish The same kwa match ya Everton na Liverpool!!!
Yeah lets stop it.Huu utani wa Gold Crest ni wa muda mrefu humu and I hope kila mtu anafahamu hivyo. Kama umepitwa na wakati naweza kuuacha. Gold Crest room kwa siku dola 200+ Msukuma miye hata ndani sikujui kukoje. Nilipita tu pale nje kushangaa kunavyong'ara halafu nikala kona kwenda kupiga picha kwenye lisamaki letu lile...[emoji16][emoji16][emoji16]
Hii coment bila ya picha ya lisamaki ukiwa umelinyooshea kidole inakuwa haijakamilika.
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yeah lets stop it.
Pole,Haaaa aiseee jana nimepitwa kumbe maana nilikua busy kufatilia msiba uwiiiii
Haaaa aiseee jana nimepitwa kumbe maana nilikua busy kufatilia msiba uwiiiii