Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muweke wazi ili asiwapate wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa baada ya kumquote hajarudi tenaa kwenye lile jukwaa..

Kuna mdau mwingine baada ya kuona nmemsema pale,,ikabd acheke kumbe yy tyl alishamstukia
IMG_20190303_165610.jpeg
IMG_20190303_165633.jpeg
 
Manchester City itatumia euro milioni 350 msimu huu wa joto kuimarisha kikosi chake huku meneja Pep Guardiola akiwa na mpangowa kuwasajili wachezaji wanne wa ziada. (Star)
 
Juventus huenda ikasaini meneja wa zamani wa Chelsea, Antonio Conte ikiwa Massimiliano Allegri atawaondokea miamba hao wa ligi ya Serie A msimu huu. (Corriere Dello Sport - in Italian)
 
Mlinzi wa Manchester United na Sweden Victor Lindelof, 24, anasema kuwa aliwaenzi sana kipa wa zamani wa United na UfaransaFabian Barthez alipokuwa akicheza mpira akiwa mdogo japo wakati huo alikuwa akicheza namba 10. (Mail)
 
Back
Top Bottom