Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yap,,nililizwa,bt jamaa nilijua amenizima nikampotezea kuna siku nikamkuta kwenye lile jukwaa alikotangazia biashara yake,,nikamwambia hlo bando bado lipo njian,,kumbe kuna raia pia walishamsoma,ilibd apige kimya huwa namuona nyuz mbalmbal na yy anakemea utapel wa humu,,

Nilishajifunza bro,asante

Ukistajabu ya Musa ya Filauni hutayaona
Eti na yeye anakemea utapeli [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kwema ninge.
Habari za huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Salama kabsa bro,
Kutoka Ccm Kambarage Shinyanga,,mambo ni hv
IMG_20190303_162455.jpeg
 
Back
Top Bottom